Imeandaliwa na 

Greyson Kahise

Mtaalamu WA kuku

0715894582

0769799728

Starter Crumble 1-2 wks

Starter mash 3-8 wks

 *Au* Starter mash wiki 1-8

Grower mash 9-19 wks 

Layers mash baada ya kuona yai *3-5* % na kuendelea 

 *Chanjo* 

Siku ya 7 Newcastle

Siku ya 14 Gumboro

Siku ya 21 Newcastle

Siku ya 28 Gumboro

Siku ya 30 Ndui

Kila baada ya miezi 2-3 Newcastle 

 *Muhimu Dawa za minyoo kila baada ya miezi 2-3*

 *BROILER*

🐎 *Ulishaji* 

Starter Crumble Day 1-14

Grower Pellets day 15-21

Finisher pellets day 22- Hadi Kuuza 

( *Mfumo unaweza badilika kutokana na maelekezo ya chakula Kwa Kampuni tofauti* ).


 *CHANJO KWA BROILER*

Siku ya 7 Newcastle

Siku ya 14 Gumboro

Siku ya 21 Gumboro 


AU 

Siku ya 7 Newcastle

Siku ya 14 Gumboro

Siku ya 21 Newcastle 


Mifumo hii inatofautia eneo na Eneo ( *Muhimu Sana Kuzingatia chanjo, niliwahi kutana na mfugaji ananambia yeye huwa anachanja chanjo moja Tu ,,,,USIOMBE UGONJWA UTOKEE UTAPATA VIFO VINGI* )


UFUGAJI WA KUKU UNAWEZEKANA NI WEWE KUWA MVUMILIVU, Kufanya vitu sahihi Kwa wakati


Na *_ZAIDI_* Sana *KUZINGATIA* usafi 


VITAMINS MUHIMU SANA Kwa ajili ya kuhakikisha maendeleo ya kuku wako yanakua vema kabisa 


 *Asante Kwa kusoma na KUTEKELEZA*